Man Beats His Wife, Breaks Her Hand After What Happened During Valentines

Global Alerts

by Toter 37 Views 0 comments

Mimi ni mke wa watoto wawili mmoja akiwa kidato cha kwanza na wa pili anasoma darasa la saba kitongojini mwetu Mtwapa. Kwa majina naitwa mama Busara ambaye nilipatana nabwanagu huko Kenya alipokuwa akitafuta kazi na baada yamiaka tatu alinisafirisha hadi Tanzania Mtwapa ambakoalinijengea nyumba na kuniambia nikae nyumbani nituliesababu atkuwa akileta chakula na matumizi mengine yanyumbani. Kwa kweli tukaanza kuishi vizuri hata tukafunga ndoa yakifahari naye na maisha yakawa mazuri hata ingawaje yeyealiendelea na kazi zake huko Mombasa Pwani ya Kenya. Kila baada ya wiki mbili alirudi kuniangalia ninaendelea ajehuku akiwa amebeba vyakula na hela zangu za kumtunziawanawe. Nilifurahi kumpata bwana wa kipekee ambaye alinijalimno. Muda si muda, nilimzalia mtoto wa pili amabye nimesema sasahivi yupo darasa la saba humu kijijini. Muda si muda, ndipo mbivu na mbichi ikaanza kujulikana. Nilianza kuona maajabu ambapo bwanangu huyo, ghafla bin vuu, aliacha kunitembelea na hata kutuma hela za matumizi. Kila nilipojaribu kumuuliza alinifokea na kunikatia simu. Dah!!! Ni nini mabaya tena? Usiku mmoja alirudi nyumbani na nikikumbuka ilikuwa Ijumaaikielekea wikendi. Alipobisha mlango aliingia ndani kwa ukalina kunizaba kofi kali. Nilianguka chini kama gunia, muda simuda kofi ingine kali nikaanza kuzirai. Nilikuwa hata sijakulajioni hiyo. Uso ulinifura kama mandazi. Nilienda hospitalini kupokea matibabu...

0 Comments