Wanawake Kiambu Watema Mabwana Zao Baada yaMaamuzi Tata ya Mahakama Kuu Kuhusu Ugavi Wa Mali. Petronila Atumia Njia Tofauti Kuhakikisha AmevunaPakavu
Global Alertsby Toter 5 months ago 29 Views 0 comments
Kumbe wanaokaa katika ndoa kwa madhumuni ya kujinufaishani wengi. Kimeumana!! Baada ya Mahakama Kuu Kenya kutoauamuzi kuwa wanandoa hawatagawa mali nusu bin nusuwakiachana na badala yake kila mchumba ataondoka naalichokileta mezani, ndoa zimeanza kuumbuka.
Ripoti ya hivi majuzi inaonyesha takwimu za kutamausha. Wanawake ishirini na wanne wajitoa ndoani Kiambu baada yamaamuzi hayo. Mama Kamau hakuficha wala kuukaza ulimialipoulizwa kwa nini hamtaki tena mume wake wa miaka miwiliCosmas Githinji.
“Sikupanga kukaa hapa milele. Mali yake ndio yalinivutia. Nilitaka kutoka mwaka ujao tugawanye mali nihamie Thika kufanya biashara. Mahakama imeniharibia mipango. Afadhalinirudi kwetu nihangaikie huko. Sikumpenda hata kidogo, mapenzi yalikufa na Romeo na Juliet baharini. Wamenichanganya ubongo tena sana, si wangeacha tu venyesheria ilikuwa inasema??” alilalamika bila kuficha hisia zake. Mama Kamau ni mmoja kati ya wengi walioghadhabishwa nauamuzi huo. Cha kushangaza ni kwamba Petronila hakuwa nawasiwasi wowote. Alikiri kuwa uamuzi huo hautabadilishachochote, kwani amejipanga vilivyo.
Alipohojiwa zaidi alijipiga kifua na kusema kuwa yeye hanahofu yoyote kwani alishajikwamua katika mzigo huo kitambo. Akafunguka na kusema kuwa mume wake hawezi kosa kumpaurithi wala kuhanya nje. Amekwishatambua siri ya kuhakikishakuwa mali ya mume inafaidi mpaka mke na watoto wake. Akaeleza kuhusu jinsi alimtembelea Dr. Mugwenu Vihiga nakutumia dawa za kienyeji na uganga wa hali...
0 Comments